You are here

Back to top

Mgeni (Paperback)

Mgeni Cover Image
$11.00
Special Order - may be out of print. We may be able to order used copies. The condition and prices will vary.

Description


Mgeni ni kimoja cha vitabu vya hadithi katika msururu

wa Little Birds ECDE ambacho kimeandikwa kuwapa

watoto maarifa ya jinsi ya kuhusiana na wageni.


Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa

watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na

wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza

imetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupendeza na

kufurahisha. Hii itasaidia kuwachochea watoto kujadili

yaliyomo wanaposoma.


Product Details
ISBN: 9789966362223
ISBN-10: 9966362223
Publisher: Longhorn Publishers Plc
Publication Date: August 8th, 2012
Pages: 22
Language: Swahili