You are here

Back to top

Mikono ya Gondi (Paperback)

Mikono ya Gondi Cover Image
$11.00
Special Order - may be out of print. We may be able to order used copies. The condition and prices will vary.

Description


Mikono ya Gondi ni kimoja cha vitabu vya hadithi katika

msururu wa Little Birds ECDE kinachoangazia hadithi za mbinu

za kuishi. Kimetungwa ili kuwasaidia watoto kujifunza usafi.

Yaliyomo ni pamoja na jinsi ya kutumia choo vyema, kunawa

mikono unapotoka chooni na matumizi mema ya hanchifu.

Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa

watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na

wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza

imetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupendeza na

kufurahisha. Hii itasaidia kuwachochea watoto kujadili

yaliyomo wanaposoma.


Product Details
ISBN: 9789966362247
ISBN-10: 996636224X
Publisher: Longhorn Publishers Plc
Publication Date: July 2nd, 2012
Pages: 24
Language: Swahili